Hope Channel Logo

Runinga ya Hope channel inatoa vipindi kuhusu maisha kamili ya mkristo na inaangazia imani, afya, mahusiano na jamii. N Runinga itakayobadilisha maisha yako

Hii ndio Runinga rasmi ya Waadventista wasabato, Runinga ya Hope channel inaleta vipindi kuhusu maisha kamili ya mkristo na inaangazia imani, afya, mahusiano na jamii. N runinga itakayobadilisha maisha yako.

Ilianza kupeperusha matangazo yake Marekani 2003. Leo Iko ulimwenguni kote ikiwa na runinga 68 zinazoifikia Africa, Asia, ulaya, Kusini mwa America, na vizia vya pacifiki. Vipindi kwa kila chaneli vimeundwa kuwafaidi watu wa eneo hilo na huwasilishwa kwa zaidi ya lugha 80 zikiwemo, kispania, kireno, kijerumani, kirumi,kimandarina, kirusi, kitamili, kihindi, kiukraine, kiarabu na kitelugu.

Kuunga kuamini kwetu amani ya ndani and kutoshelezwa kwapatikana ndani ya yesu, programu zetu zinapasha ujumbe huu.

1) Mungu n pendo na amejidhirisha kupitia kwa mwanawe yesu Kristo. 1Yohana 4:16, Yohana 14:9

2) Yesu n mwana mtakatifu wa Mungu, na wala si kiumbe bali n mungu wa milele. Yohana 1.1

3) Yesu alikuja duniani kuishi maisha ya ukamilifu na atoe maisha yake kutukomboa kutoka kwa dhambi. Warumi 5:6-10.

4) Yesu anapoingia ndani ya maisha yetu, hutufanya viumbe wapya. 2Wakorinto 5:17, Waibrenia 8:10, Yohana 14:5.

5) Unabii wa Kibibilia unaonyesha kuwa mwisho wa dunia umefika na Yesu karibu yuaja. Revelation 22:12

Pakua zana tumizi yetu

Pakua zana tumizi ya Runinga ya Hope channel ili kufuata vipindi vyetu.

Fikia vipindi vyetu kutoka kwa chaneli zetu na ukatazame vipindi uvipendavyo wakati wowote.

Heroes: Hope app

SWALI KUU

Majagina wetu wamekwisha kukuchochea ukajibu kila kitu kuhusu maisha yao. Sasa n wakati wako wa kuuliza! Tumeandaa orodha ya maswali yanayopendelewa kuulizwa kwa mtandao kuhusus majagina wetu kukusaidia kupata majibu yako.

Anza masomo yako

UMUHIMU WA KUJUA BIBILIA

Wahitaji Ombi?

Jiunge na kundi letu wakati wowote wa siku.

Tuko tayari kukusaidia na kukusaidia kuelewa Bibilia

Request a prayer