
Madhara
Kusanya manna na majibu yeyote na utumie kununua madhara yatakayo kusaidia kujibu maswali haraka na salama




Athari ya ABRAHAMU




Athari ya Danieli




Athari ya Eliya




Athari ya Ijumaa




Athari ya Yona




Athari ya Yoshua




Athari ya Yesu




Athari ya Lazaro




Athari ya Ufunuo
Athari ya ABRAHAMU
Gawa majibu mara mbili jinsi Abrahamu alivokata wanyama mara mbili
Athari ya Danieli
Funua andiko la bibilia palipo jibu sahihi
Athari ya Eliya
Inakupa mara mbili ya XP
Athari ya Ijumaa
Yaongeza manna inayozawadiwa kwa kujibu sahihi
Athari ya Yona
Unaweza ruka maswali
Athari ya Yoshua
Inasimamisha muda kwa sekunde 12 jinsi jua lilisimamia Yoshua
Athari ya Yesu
Inatoa makosa na kuonyesha njia
Athari ya Lazaro
Kuna jaribio la pili iwapo utakosa jibu
Athari ya Ufunuo
Inapunguza muda wa mchezo iwapo majibu yote n sahihi